Spika wa Bunge Anne Makinda alikuwa kwa kwanza kuzungumza wakati Wabunge wakimpigia makofi David Kafulila alipokuwa anaingia; “… Bwana Harusi anaingia… Sasa Bibi Harusi yuko wapi mimi nilitegemea anakuwa pale… Mchezo mbaya huo.. Haya asante nashukuru, hongera…“- Anne Makinda.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia January Makamba naye aliongea haya; “… Na mimi napenda kuchukua fursa ya kumpongeza Mheshimiwa David Kafulila kwa kuoa, karibu kwenye klabu yetu na hongera sana… “
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment