Beki wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy akifurahia katika saluni moja Zanzibar leo baada ya kunyoa mnyoo maalum kuelekea pambano dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC imeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya mchezo huo wa leo jioni.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment