MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

MSUVA NJIANI KUTUA SIMBA DIRISHA DOGO

MSUVA (KUSHOTO) AKIPAMBANA NA JUMA NYOSSO WAKATI AKIWA COASTAL UNION
Simba imeamua kupeleka barua ya kueleza wazi kuwa inamtaka mshambuliaji Simon Msuva.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema wametenga dau kuanzia Sh 500,000 ili kumpata MSuva.
Hata hivyo akasisitiza, wataomba ruhusa ili wafanya mazungumzo na MSuva.
“Sisi hilo ndiyo dau letu, lakini Yanga wakituruhusu kuzungumza naye, basi tutajua kama ni kuongeza au la,” alisema.

Tayari Simba imeanza kuimarisha kikosi chake kwa kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake Jonas Mkude.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment