Mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania, yamefanyika leo nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo.
Mabovu amefariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam akisumbuliwa na maradhi ya kifua.
Ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika mazishi hayo.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment