KOCHA MKUU WA SIMBA, PATRICK PHIRI AKIZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TIMU YA VIJANA YA SIMBA CHINI YA MIAKA 20 ALIPOKWENDA MAZOEZINI KWAO MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM. PHIRI ALIONGOZANA NA MSAIDIZI WAKE, SELEMANI MATOLA. KULIA KWAKE NI MAKAMU WA RAIS WA SIMBA, GEOFREY NYANGE 'KABURU' NA KOCHA WA VIJANA WA SIMBA. MWENYE FULANA NYEUPE NI PATRICK RWEYEMAMU, MMOJA WA VIONGOZI WA TIMU HIYO YA VIJANA KWA ZAIDI YA MIAKA MITANO SASA.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment