MPIRA UMEKWISHAAAAAA.....
Dk 90 Okwi tena anaingia, Ntebe anamfanyia madhambi na kupewa kadi ya njano.
Dk 90 Okwi tena anaingia, Ntebe anamfanyia madhambi na kupewa kadi ya njano.
Dk 89, Okwi anaingia akiwa amebaki na mchezaji, anapiga shuti linalota.
Dk 85, Okwi yeye na kipa, krosi nzuri ya Gallas, lakini anaupiga juu. Anaumia na kutolewa nje kutibiwa.
GOOOOO Dk 79, Okwi anaifungia Simba bao baada ya Maguri kupiga shuti kali, kipa Shooting akatema na Okwi akamalizia wavuni.Dk 74, Okwi anaangushwa nje ya 18, mwamuzi anaamuru faulo ambayo inapigwa na Okwi. Lakini kipa wa Shooting anadaka kwa ustadi mkubwa.
Dk 72, Ruvu wanamtoa Juma Nade anaingia Ayubu Kitala.
Dk 70, Madega anapiga shuti kali lakini Ivo Mapunda anafanya kazi nzuri.
Dk 69, Okwi anapiga vizuri baada ya kupokea oasi ya Gallas lakini unatoka nje.
Dk 67, Simba wanamtoa Ndemla na nafasi yake inachukuliwa na Maguri.
Dk 62, Okwi tena, anawatoka mabeki wa Shooting lakini mwisho anapiga shuti nyanya.
Dk 56 Tambwe anaingia na mpira na kupiga krosi safi lakini inakosa mwenyewe.
Dk 48, Okwi anatolewa nje baada ya kuumia. Anatibiwa nje
Dk 47, Okwi anapiga shuti kali baada ya kupewa pasi na Singano 'Messi' lakini anaumiwa.
MPIRA MAPUMZIKO:
Dk 44, Okwi anakimbia na mpira na kupiga krosi lakini inakosa wa kuimalizia.
Dk 42, Simba wanapata kona, lakini inakuwa hainamadhara huku mashabiki wachache wa Simba waliojitokeza wakiendelea kushangilia wakiamini timu yao itapata bao.
Dk 38, Tambwe anawatoka mabeki wa Simba na kupiga shuti kali lakini kipa wa Shooting, Rashid Abdallah anaudaka mpira na kuumia.
Dk 30, Ndemla anavuta mpira na kupiga shuti kali sana lakini linakuwa kuubwaa.
Dk 26 Juma Said anapiga shuti kali lakini Ivo Mapunda anauondoa kwa ustadi mkubwa.
Dk 21, Madega tena ainaingia ndani ya eneo la hatari lakini Jona Mkude anamthibiti na kuosha mpira.
Dk 10, Okwi akiwa amebaki na kipa lakini anashikwa na kigugumizi, mpira unaokolewa.
Dk 6 Mohamed Hussein 'Shabalala' anapiga krosi inamfikia awadhi Juma na kupiga hoti lakini Salvatory Ntebe anaokoa.
Dk 4, Amissi Tambwe anapiga krosi safi lakini mabeki wa Ruvu Shooting wanafanya kazi ya ziada kuokoa.
0 comments:
Post a Comment