ROONEY AKUMBUKIA ALIPOTOKA Unknown 9:33 PM Edit Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney anajiandaa kucheza mechi ya 100 akiwa na timu ya taifa ya England. England itaivaa Slovenia Jumamosi lakini amechukua uamuzi wa kurejea kwenye shule ya Chekechea na kupiga stori na watoto wanaosoma kwenye shule hiyo. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment