MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

EPL: Matokeo ya Liverpool dhidi ya Leicester City nimekuwekea hapa

Baada ya mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha katika michuano ya ndani na nje ya nchi yao – klabu ya Liverpool leo imejitupa uwanjani kucheza na timu iliyowapa kipigo kizito Man United – klabu ya Leicester City.
Mchezo huo wa Barclays Premier League uliochezwa katika dimba la Leicester City umemalizika kwa Liverpool kuwatafuna Leicester 3-1.
Magoli ya Adam Lallana, Steven Gerrard na Jordan Henderson yalitosha kuwapa pointi 3 Liverpool na kuwafanya sasa kutimiza pointi 20 katika msimamo wa ligi kuu ya England.
Matokeo mengine:
Burnley 1-1 Newcastle
West Brom 1-2 West Ham
Swansea 2-0 QPR
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment