MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

Mapokezi ya Diamond Platnumz 88.5 Dar es salaam Dec 02.

93dmndDiamond Platnumz ameingia Dar es salaam Tanzania leo Dec 02 akiwa na tuzo zake 3 alizozipata kutoka Channel O ambapo Watanzania wamejikusanya barabarani kutoka Airpot mpaka mitaa aliyokuwa amepita.
Msafara ulipotoka Airpot umepitia Buguruni mpaka Kariakoo ambapo ulipofika Kariakoo ilibidi Jeshi la Polisi liingilie kati ili kupunguza foleni ya watu waliokuwa wakitaka kumshika mkono Diamond.
Diamond alipofika Buguruni aliamua kushuka kwenye gari ya wazi aliyokuwa amepanda na kutembea kwa miguu na mashabiki wake mpaka Kariakoo,hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hayo.
87dmnd
86dmnd
67dmnd
63dmnd
40dmnd
44dmnd
45dmnd
48dmnd
58dmnd
59dmnd
39dmnd
36dmnd
35dmnd
33dmnd
27dmnd
22dmnd
21dmnd
20dmnd
14dmnd
8dmnd
7dmnd
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment