MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

KESSY ANAAMINI SIMBA ITABAMBA TU LIGI KUU BARA


Beki wa kulia wa Simba, Ramadhani Kessy amsema kikosi chao kiko safi kuliko watu wanavyoamini.


“Simba iko katika kiwango kizuri na tunaendelea kujifua, mimi ninaamini kama kila kitu kitaenda katika mpangilio mzuri basi tutatoa upinzani mkubwa tu.

“Watu wasitudharau wakiamini kwamba hatuna kitu au hatuwezi kufanya vizuri,” alisema.

Simba imeonyesha kiwango kizuri na kufanya vema katika mchi zake zote za kirafiki mjini Zanzibar.


Kessy amekuwa kati ya wachezaji wenye kiwango kizuri na mwanzo wa mashambulizi katika kikosi hicho kutokea upande wa kulia.

Simba imeweka kambi mjini Zanzibar ikiwa ni maandalizi yake ya mwisho kujiandaa na Ligi Kuu Bara, itarejea Dar es Salaam wikiendi hii kwa ajili ya Simba Day.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment