Kocha Jackson Mayanja ameendelea kuwapa mazoezi vijana wake kujiandaa na mechi ya African Sports.
Simba inawavaa Wanakimanumanu Jumamosi wakiwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Itakuwa ni mechi ya raundi ya pili baada ya Simba kushinda mechi ya kwanza ugenini. Mayanja ameonyesha si mtu wa utani kazini na Simba wamekuwa makini na mazoezi.
0 comments:
Post a Comment