Kwa mara ya mwisho inawezekana uliiona video ya Ejeajo ambayo inaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya TV Duniani ambapo P Square wamemshirikisha rapa T.Ikutoka Marekani.
Sasa kingine cha kufahamu ni kwamba sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa ndoa ya Peter Okoye ambayo ilikuwa jana Novemba 17 2014 siku ambayo pia wamesherehekea siku yao ya kuzaliwa, P Square wameitumia siku huu pia kusherehekea na mashabiki wao duniani kwa kuachia video ya wimbo mpya unaitwa Shekini.
Bonyeza play hapa chini uitazame video yenyewe mtu wangu..
Producer wa Video ni Clarence Peters aliyewahi kufanya kazi na mastaa kama Davido, Iyanya, na Yemi Alade na akashinda tuzo nyingi ikiwemo kubwa ya mtayarishaji bora wa Video Afrika ya MTV Africa Music Awards 2014. ndio kuifanya hii video mpya ya P Square.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment