Beki Serge Wawa Pascal kutoka Ivory Coast, leo amefanyiwa vipimo vya afya katika kliniki ya Ebtu Physical Therapy Unit, Mikocheni, Dar es Salaam kuelekea usajili wake katika klabu Azam FC akitokea El Merreikh ya Sudan.
Akiwa hapo pia alipata fursa ya kukutana na kiungo mkabaji aliyesajiliwa Azam FC msimu huu kutoka Yanga SC, Frank Raymond Domayo na kupiga naye picha.
0 comments:
Post a Comment