Eneo ambalo gari ilipata ajari na huu mti ndio uliosababisha kifo cha marehemu
Mwili wa marehemu ukiwa bado amebanwa katika gari na wasamalia wema akinamama wakiwa wamemfunika nguo


 Hizi ndizo namba za gari hiyo ilipata ajari


Hiki ni moja ya vitambulisho vilivyokutwa katika suruali yake 
Mtu mmoja amefaliki Dunia baada ya kupata ajali ya gari katika mlima wa kimelembe barabara ya Kuelekea Manda wilayani Ludewa katika mkoa wa Njombe mchana wa leo,Bado chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika.

Endelea kufuatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi.