Siku chache baada ya Floyd Mayweather kutundika picha akiwa amejana lundo la noti za dola kitandani kwake sasa kafanya kufuru nyingine.
Mayweather amenunua gari la lililopakwa dhahabu aina ya Bentley, aina ya gari hilo hutumika zaidi na wale wanaocheza mchezo wa gofu.
Gari hilo amemzawadia mwanaye aitwaye Koraun mwenye umri wa miaka 15.
Hata hivyo haikuwekwa wazi thamani ya gari hilo baada ya Mayweather kulinunua wiki iliyopita.
0 comments:
Post a Comment