WANYAMA, KULIA AKIPAMBANA KATIKA MECHI HIYO JANA. |
Kiungo Mkenya, Victor Wanyama, ameingia kwenye tatu bora ya wachezaji wa Aston Villa waliocheza vizuri jana kwenye mechi ya ugenini dhidi ya Aston Villa.
Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu England iliyoisha kwa sare ya bao 1-1, Wanyama amekuwa kwenye kundi la wachezaji waliofanya vizuri katika kukimbia muda mwingi au umbali mrefu wakati wa kupambana uwanjani.
WACHEZAJI SITA, WATATU KILA UPANDE WALIOFANYA VEMA KATIKA MECHI HIYO.
DAKIKA KM MAILI
Aston Villa 105.3 65.4
Ashley Westwood 90 11.3 7.0
Tom Cleverley 90 10.9 6.8
Andreas Weimann 90 10.6 6.6
Southampton 107.9 67.1
Morgan Schneiderlin 90 11.6 7.2
Dusan Tadic 90 11.5 7.2
Victor Wanyama 90 10.9 6.8
0 comments:
Post a Comment