Rapa wa Bongo Fleva, Geez Mabovu ambaye aliwahi kutamba na ngoma kama "Mtoto wa Kiume" amefariki Dunia usiku huu huko mjini Iringa.
Habari hizi zimefikia uma wa Tanzania dakika chache zilizopita baada ya EATV kupost kupitia ukurasa wake wa Facebook kama inavyosomeka;
0 comments:
Post a Comment