MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

Sasa hivi kivuko sio Kigamboni tu hata Dar – Bagamoyo wameletewa hiki kipya.

unnamed (14)Foleni za Dar es salaam na matatizo yake imekua sio stori mpya tena ila ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka pamoja na hiki kivuko ndio habari ya mjini ambapo leo kuna stori imetoka ikiwa ni good news kuhusu hiki kivuko kipya.
Kwenye Blog ya issamichuzi.blogspot.com kuna taarifa kuhusu kutua kwa kivuko cha Mv. Dar es Salaam ambacho kitakuwa kinafanya safari kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wakisubiri kivuko hicho kushushwa bandarini Dar.
Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wakisubiri kivuko hicho kuwasili bandarini Dar.
Kivuko cha Mv Dar es Salaam kikiwasili Dar leo Novemba 17.
Kivuko cha Mv Dar es Salaam kikiwasili Dar leo Novemba 17.
Kivuko III
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri Magufuli wakipewa maelekezo na Injinia Japhet Masele.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri Magufuli wakipewa maelekezo na Injinia Japhet Masele.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment