MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

VIJANA KARIBU 600 WAJITOKEZA KUWANIA NAFASI SIMBA, WANATAKIWA 60


Vijana karibu 600 wamjitokeza leo jijini Dar es Salaam kuwania kucheza katika kikosi cha Simba B.

Kikosi hicho cha wachezaji wenye umri chini ya miaka 20 wanatakiwa wachezaji 60 tu.
Kocha Yusuf Macho ‘Musso’ amesema wanatakiwa vijana 60 kama hatua ya kwanza.
“Wamejitokeza kwa wingi, ni jambo zuri na tunanaendelea na mchujo,” alisema Musso ambaye ni mchezaji wa zamani wa Simba.
Mchujo huo umefanyika kwenye Uwanja wa Mwenge Shooting jijini Dar na unatarajia kuendelea kesho.
MUSSO AKITOA MAELEKEZO







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment