Kikosi
cha Simba SC, kikiwa makao makuu ya Azam TV, Tabata, Dar es Salaam leo.
Kikosi hicho kimezuru hapo katika mfululizo wa wa wiki ya Simba,
kuelekea tamasha la Simba Day kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam,
ambako watamenyana na SC Villa ya Uganda.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment