MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

Ronaldo: Ningekuwa na Uwezo Ningeuchukua Mguu wa Kushoto wa Messi


Masaa machache kabla ya tuzo ya mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2015 haijapata mmiliki wake, wachezaji watatu wanaowania tuzo hiyo leo walikuwa na mkutano na waandishi wa habari.
 
Katika mkutano huo uliofanyika muda mfupi uliopita Cristiano Ronaldo alipata nafasi ya kumzungumzia mpinzani wake Lionel Messi baada ya kuulizwa anamzungumziaje muargentina huyo, Ronaldo alijibu: ‘Ningekuwa na uwezo Ronaldo ningependa niupate mguu wake wa kushoto, mguu wake huo una uwezo kuliko wa kwangu,’ alijibu CR7 na baadae Neymar nae akamuunga mkono kwa kusema yeye angependa awe na miguu yote miwili ya mchezaji mwenzie wa FC Barcelona.
  Katika upande mwingine Ronaldo alizungumzia skendo ya rushwa katika soka na akasema: ‘Ninachoweza kusema ningependa rushwa isiwepo, sio tu kwenye soka bali katika mfumo mzima wa kimaisha vilevile.’
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment