Mshambuliaji Mbwana Ally Samatta (kulia) wakati anawasili Lubumbashi mwaka 2011 kusaini Mkataba wa kujiunga na TP Mazembe ya DRC. Wengine kutoka ksuhoto ni Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu', Meneja wake, Jamal Kisongo na Ofisa wa TP Mazembe aliyewapokea.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment