PICHA:MATUKIO YALIYOJIRI KWENYE MECHI YA COASTAL UNION VS SIMBA Unknown 9:37 PM Edit Mashabiki wa Simba waliofurika uwanja wa Mkwakwani wakishangilia goli la kwanza lillilofungwa na Danny Lyanga Kikosi cha Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga Wachezaji wa kikosi cha Coastal Union kilichoanza dhidi ya Simba SC Wachezaji wakisalimiana muda mfupi kabla mchezo kuanza Manahodha wa timu zote mbili Ally Shiboli (Coasta) na Jonas Mkude (Simba) katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao Wachezaji wa akiba wa kikosi cha Simba wakifatilia mchezo kwa makini Wachezaji wa akiba pamoja na viongozi wa benchi la ufundi la Coastal Union wakifatilia mchezo kwa makini Afisa habari wa Simba Haji Manara akiingia uwanja wa Mkwakwani, Tanga Danny Lyanga akipambana na beki wa Simba wakati wa mchezo dhidi ya Coastal Union Danny Lyanga akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Coastal Union Ibrahim Twaha wa Coastal akijaribu kumzuia kiungo wa Simba Said Ndemla Hamisi Kiiza akishuru baada ya kutupia kambani bao dhidi ya Coastal Union na kufikisha jumla ya mabao 19 kwenye ligi Wachezaji wa Simba wakimpongeza mchezaji mwenzao Hamisi Kiiza aliyefunga bao la pili kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union Mashabiki wa Simba wakionesha bango lenye ujumbe wa kuisifia timu yao Baadhi ya viongozi wa klabu ya Simba wakiwa jukwaani wakifatilia mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga Shabiki wa Simba akijaribu kuruka kutoka jukwaani kuingia uwanjani Mashabiki wa Coastal Union wenye asili ya kigeni walikuwepo uwanjani wakii-support timu yao Shabiki wa Simba akishukuru baada ya mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba na Simba kupata pointi tatu Mabango yenye ujumbe wa mashabiki wa Coastal Union kwa uongozi wa klabu yao Afisa habari wa Simba Haji Manara akitoka kuwashukuru mashabiki wa Simba waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali hadi Tanga kuishangilia timu yao Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment