MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

PAUL KIONGERA ALIVYOANZA TENA KAZI SIMBA SC LEO UWANJA WA AMAAN

Mshambuliaji Mkenya wa Simba SC, Paul Kiongera akiwa mazoezini na timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Amaan, Zanzibar 
Paul Kiongera ameanza mazoezi leo baada ya kurejeshwa kikosini akitokea KCB ya kwao alipokuwa anacheza kwa mkopo
Kiongera alisajiliwa msimu uliopita, lakini Desemba akatolewa kwa mkopo KCB kufuatia kuumia goti
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment