Kweli
kazi ya Rais John Pombe Magufuli inakubalika, si hapa tu Tanzania, hata nchi
jirani.
Safari
hii Kenya wamekuwa wa kwanza kumkaribisha Magufuli kupitia michezo wakionyesha
kukubali kazi yake.
Wanachama
wa klabo kongwe ya Kenya, Gor Mahia wamefungua tawi la Magufuli.
Hii ni sehemu ya kuonyesha namna kazi za Rais wa Tanzania na serikali yake zinavyokubalika.
0 comments:
Post a Comment