Wachezaji wa Al Ahly ya Misri wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam Alfajiri ya leo tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ya wenyeji, Yanga |
Kocha Mholanzi, Martin Jol akifurahia baada ya kukanyaga ardhi ya Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora |
Wachezaji wa Al Ahly wakipanda basi kuelekea hoteli ya Serena walipofikia |
Wamewasili wakionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo |
Wachezaji wote walivalia fulana na suruali za michezo katika safari yao ya kuja Dar es Salaam |
0 comments:
Post a Comment