Timu ni Abajaro fc ilikutana na timu ya Tabata ambapo mpaka mpira unakamilika dakika 90 timu zilikua suluhu ya 1-1 ndipo zilipopigwa penati na timu ya Abajaro kushinda kwa penalti 7-6.
Mashindano haya yamefanyika kwenye viwanja vya Bandari Mwembeyanga,yameandaliwa na timu ya michezo kutoka Clouds Fm na kudhaminiwa na Dokta Mwaka,mshindi wa kwanza amekabidhiwa Million 5 wa pili million 3 na mshindi wa tatu ni million 2.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment