Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani, mshindi wa shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa wakati alipokuwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” aliyemuonesha tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.


Rais Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.

Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014. kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko.

Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” juu ya ushindi wake wa tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.

Rais Kikwete akiongea na msanii Naseeb Abdul “Diamond” alipomkaribisha Ikulu kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.

Rais Kikwete akipokea CD mpya ya msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kuoneshwa tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014. 

Tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda Naseeb Abdul “Diamond” mwaka huu 2014.

Rais Kikwete akiwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kumkaribisha na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko, na kushoto ni katibu wa Bodi ya filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.

Rais Kikwete akiwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” alipomkaribisha ili kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Desemba 23, 2014.

Rais Kikwete akimsindikiza msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya kumkaribisha na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne Desemba 23, 2014.