MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

KOPUNOVIC AMALIZANA NA SIMBA MKATABA WA MIEZI SITA



Kocha mpya wa Simba, Goran Kopunovic amesaini mkataba wa miezi sita.

Kocha huyo raia wa Serbia amekubaliana na uongozi wa Simba kusaini mkataba huo hadi mwishoni mwa msimu.
“Kweli ndiyo makubaliano, baada ya hapo litakuwa ni suala la kuangalia anachokifanya.

“Baada ya hapo, tutakuwa wote tumeona tusaini mkataba zaidi au la,” alisema mmoja wa viongozi wa Simba.

Taarifa zinaeleza uongozi wa Simba utamsafirisha Kopunovic hadi Zanzibar ambako atamaliza kila kitu.
“Kutakuwa na hafla maalum, hivyo naomba kwa sasa utuache kwanza.”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment