Jezi
mpya za klabu ya Simba msimu wa 2015 – 2016 zitaanza kuuzwa rasmi leo
tarehe 30 – 7 – 2015 kwenye makao makuu ya Simba pamoja na maduka ya
Uhl Sports yaliyopo mitaa ya Sinza na Jamuhuri jijini Dar es Salaam.
Jezi mpya za Simba zinapatikana kwa TSH 15,000/= tu ambapo pia unaweza kuzipata kwa njia ya duka la mtandao la Jumia www.jumia.co.tz. Maduka mengine yataongezwa kadri ya muda unavyozidi kwenda.
Simbasports.co.tz itatoa Jezi pamoja na tiketi ya VIP bure kwa wateja wawili wa kwanza kwenda kushuhudia mechi zitakazochezwa siku ya Simba Day tarehe 8 – 8 – 2015. SIMBA NGUVU MOJA

0 comments:
Post a Comment