MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

KAZIMOTO AJISALIMISHA KWA KOCHA MWINGEREZA, AANZA MAZOEZI ZANZIBAR


Na Nassor Amour, Zanzibar
Kiungo aliyerejea Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili, amejiunga na kikosi chake.


Mwinyi Kazimoto, amejiunga na wenzake wa Simba baada ya kujitambulisha kwenye Uwanja wa Amaan m,jini hapa.

Mwinyi alipata nafasi ya kuzungumza na kocha mkuu, Dlyan Kerr akiwa na wasaidizi wake akiwemo Selemani Matola.

Baada ya hapo, akajumuika na kikosi na kuanza mazoezi.


Kazimoto amejiunga na Simba akitokea Al Markhiya ya Qatar ambayo ilimnunua akitokea Simba.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment