Siku ya jana Rais wa Marekani Barack Obama aliwasili Nchini Kenya ambako ndio asili yake huku katika mapokezi licha ya kuwepo mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,
pia ndugu zake wa damu walikuwepo akiwemo Dada na Bibi yake ambapo leo
hii ikiwa ni siku ya kwanza Rais Obama kuamkia Kenya ziara yake imeanza
na ufunguzi wa mkutano wa Wajasilia mali. Ndugu zake Obama waliokuja
kumlaki ni bibi yake Sarah Obama pamoja na dada yake Auma Obama
#Source:BBC
0 comments:
Post a Comment