Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Papa Niang ambaye amekuja katika klabu yaSimba Ijumaa ya August 21 kuja kujiunga na wekundu wa msimbazi Simba, Papaamewasili na tayari yupo katika Hotel aliyopangiwa kufikia… Uongozi wa Simba ulitoa dakika chache kwa timu ya millardayo.com kupiga nae Exclusive Interview.
Ikumbukwe kuwa Papa Niang ni ndugu wa mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal,Mamadou Niang ambaye amewahi kutumikia klabu ya Olympique Marseille yaUfaransa lakini pia Papa Niang alikuwa mmoja ya mastaa wa Senegal walioiangusha Taifa Stars kwa goli 4-0 Jijini Dakar Senegal kipindi hicho Stars ilikuwa chini ya kocha Mbrazil, Marcio Maximo.
Hizi ni picha nyingine za Papa Niang akiwa katika hotel aliyofikia Dar Es Salaam
0 comments:
Post a Comment