MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

VIDEO : SAFARI YA TP MAZEMBE KWENYE NDEGE BINAFSI KUELEKEA ALGERIA


mazeme
TP Mazembe hivi sasa ipo Marrakech Algeria tayari kwa ajili ya first leg ya fainali ya mechi ya club bingwa Africa. Club ya Mazembe ilisafiri kwenye ndege binafsi wakiweko nyota wa Tanznaia Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.
home-1446039896_25oc15-hotel-du-golf-marrakech-maroc_1446039896_1446039896
Hivi sasa timu nzima imepiga kambi kwenye hoteli ya nyota 5 na kuanzia Jumatatu hadi Alhamis watafanya mazoezi private ambayo hayatahusisha media wala mashabiki.
Wachezaji wote walienda kwenye safari ya pamoja kasoro Patient MWEPU ambae kabla ya safari alipata taarifa ya kuwa baba. Hivyo basi alipewa siku moja ya kuwa na mtoto na mama yake. Baadae alisafiri na kwenda kuungana na timu yake.
Hii hapa ni video jinsi ilivyokua safari ya TP Mazembe kuelekea Algeria.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment