Kocha Jackson Mayanja wa Simba amekuwa akiendelea kukinoa kikosi chake kwa juhudi kubwa.
Tayari amekiongoza katika mechi tatu bila ya kupoteza. Moja ya mazoezi yake ambayo huvutia ni pale anapohakikisha mchezaji fulani anajifunza kwa uhakika.
Kama unavyoona alivyokuwa akimuonyesha Joseph Kimwaga anavyoweza “kudesh” na kumuacha adui kwa kutumia mwili.
0 comments:
Post a Comment