Katika kuongeza radha ya Simba Day 2015, bahati nasibu iliandaliwa ambapo kila aliyeingia alishiriki kupitia kadi maalumu zilizotolewa kwa wageni wote waliofika.
Majina ya washindi yalitangazwa baada ya mechi lakini ikiwa haukusikia tafadhali angalia kama wewe ni mshindi wa Simu, Jezi ya Simba au T-shirts za Simba. Washindi hawa watakabidhiwa zawadi siku ya Alhamisi hii.
Washindi wetu ni wenye namba zifuatazo :-
- 16421
- 18694
- 16428
- 16442
- 16449
- 16456
- 16463
- 16470
- 18687
- 18680
- 18673
- 18666
- 18695
- 18688
- 16477
- 16487
- 16491
- 18076
- 18069
- 18681
- 18674
- 18633
- 18640
- 18629
- 9278
- 15769
- 8321
- 10847
- 10114
- 10100
SIMBA NGUVU MOJA
0 comments:
Post a Comment