Baada ya kuitwanga Mtibwa Sugar kwa bao 1-0, Simba wameendelea kujifua kuhakikisha wanakuwa fiti kwa mechi zijazo za Ligi Kuu Bara.
Simba imekuwa ikijifua chini ya Kocha Jackson Mayanja katika Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.
Katika mechi ya kwanza ikiwa chini ya Mayanja, Simba ilionyesha kiwango bora na kuamsha na matumaini kwa mashabiki wake kwamba huenda imerejea katika enzi.
0 comments:
Post a Comment