Hamis Kiiza kulia akishangilia bao lake la kwanza na Hija Ugando
Mwamuzi Andrew Shamba akimzawadia kadi ya manjano Ramadhan Kessy
Hekaheka langoni mwa Burkina Faso
Abdi Banda akijiandaa kupiga krosi langoni mwa Burkina Faso
Hekaheka langoni mwa Simba......walinzi wa Simba wakiwa tayari kuondosha hatari yoyote langoni mwao
Ugando akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Burkina Faso
Abdi Banda akijiandaa kupiga krosi langoni mwa Burkina Faso
Hekaheka langoni mwa Simba......walinzi wa Simba wakiwa tayari kuondosha hatari yoyote langoni mwao
0 comments:
Post a Comment