Kocha aliyetupiwa virago Simba, Dylan Kerr ameibukia katika klabu ya Manchester City.
Kerr ametupia picha mtandaoni akiwa katika ofisi za klabu ya Manchester City pamoja na uwanja wa klabu hiyo wa Etihad.
Hata
hivyo haikujulikana mara moja, alikuwa amefika kwenye ofisi za klabu
hiyo huku akionekana na baadhi ya maofisa wa Man City kwa sababu zipi.
Juhudi
za kumsaka Kerr hazijafanikiwa, lakini tunaendelea kumsaka ili kujua
alikuwa katika matembezi ya kawaida tu au kuna jambo.
0 comments:
Post a Comment