Febr 14 2016 Taarifa zilizoenea kuanzia mitandaoni hadi mitaani ilikuwa ni ishu ya John Woka kupata ajali ya kulipukiwa na gesi, Leo asubuhi ya Feb 16 2016, mambo yakawa ni msiba wa Woka ambaye alitamba na mdundo kama ‘Mganga’ pamoja na ile ya ‘Hii kitu’ kilichokuwa kikiwabamba wengi ni style yake ya kuimba kama mlevi ndio ilikuwa moja ya burudani kubwa.
Nikaamua kufunga safari na kuanza kujionea eneo la Sinza, Dar es salaam alilopata ajali na kisha hadi nyumbani kwao Ilala Bungoni kwenye msibani.
0 comments:
Post a Comment