MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

Maneno 11 ya Juma Kaseja kwa watu wa Simba, wamkumbuke lakini….


Golikipa mahiri wa zamani wa klabu ya Simba Juma Kaseja ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya, bado ana historia nzuri na kubwa ndani ya klabu ya Simba, kwani ni miongoni mwa magolikipa mahiri waliowahi kuidakia timu hiyo kwa mafanikio.
Kama ambavyo wengi hufahamu mtu akifanya vizuri ni lazima apongezwe Juma Kasejausiku wa February 1 kupitia account yake ya instagram ameandika ujumbe ambao kwa mara moja ni ngumu kuelewa kamaanisha nini, Kaseja katika account yake ya instagram kaandika “Wana ssc nikumbukeni kwa mabaya nilio wafanyia kwenye timu yenu mazuri yaacheni”
kas
Hizi ni comment za mashabiki 

Inashangaza kidogo Juma Kaseja kamaanisha ni kuandika hivyo, kwani utamaduni wa wengi ni mtu huwa anakumbukwa kwa mazuri na sio mabaya.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment