Shabiki huyu wa Gor
Mahia, pamoja na kushangilia kwa nguvu timu yake, amekuwa akijiingizia kipato
kutokana na matangazo.
Utaona katika nguo
alizovaa na bendera aliyobeba akiwa na matangazo ya runinga maarufu ya michezo
ya SuperSport.
Taarifa zinaeleza Gor
Mahia na runinga hiyo, kiasi fulani zimekuwa zikimuwezesha katika safari zake
au fedha kadhaa kutokana na mchango wake.
Huenda sasa ikawa ni
sehemu ya mashabiki wa Bongo wanaojichora nao kuangalia ubunifu huo, ikiwezekana
nao wawe wanawezeshwa!
0 comments:
Post a Comment