MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

ISOME AYA MOJA YA STRAIKA MPYA WA SIMBA KELVIN NDAYISENGA

Moja ya wachezaji waliotikisa vicha vya habari za michezo mwishoni mwa Juma lililopita ni Straika mpya wa Simba, Kelvin Ndayisenga,  raia wa Burundi.
Nyota huyo alifunga goli lake la kwanza Jumamosi iliyopita Simba ikishinda 2-1 dhidi ya URA ya Uganda katika mechi ya kimataifa ya kirafiki.
Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza
Baada ya mafanikio hayo, Ndayisenga amesema anajiamini kuwa atakuwa msaada mkubwa wa Wekundu wa Msimbazi ambao hawajawahi kutwaa ubingwa tangu mwaka 2012, huku akikiri kuwa kikosi cha klabu yake mpya kina mpangilio bora.
“Simba ni timu nzuri, ina mpangilio bora, nikibaki hapa ninaamini nitafanya vizuri. Ninajiamini,  nitakuwa msaada mkubwa katika kikosi cha Simba,” alisema Kelvin.

Kocha mkuu wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr amewapa mapumziko ya siku kadhaa wachezaji wake.
17Aug2015
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment