MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

ORODHA YA MA-STAR SABA WA SOKA DUNIANI WANAOFANANA NA WATU WENGINE


Ronaldo na mfanano wake
Watafiti wa mambo wanasemakuwa, kila mtu anafanana na mtu mwingine duniani bila kujalisha ni mahali gani. Sasa umejua juu ya hilo, unadhani wewe unafanana na nani? Hawa ni wachezaji saba ambao wanafanana na watu wengine kwa karibu zaidi.
7. Demba Ba na Tyrese Gibson (muigizaji wa Fast and Furious)
6. Wayne Rooney na Aaron Ashmore (aliigiza Warehouse and Smallville)
5. Luis Suarez na Dracula (Muigizaji Halloween coming this weekend)
4. Andrea Pirlo and Chuck Norris
3. Lionel Messi and Abdul Karim
2. Nicolas Anelka and Tupac Shakur
1. Cristiano Ronaldo na Gokmen Akdogan
Gökmen Akdoğan ni kijana kutoka jijini Instanbul nchini Uturuki. Ufanano wake na Ronaldo umekuwa ukimfanya aijiingizie kipato kutokana na kusainia watu vitu mbalimbali.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment