Mwaka 2006 club ya Arsenal ihamia kwenye uwanja wake mpya The Emirates Stadium ambao una uwezo wa kubeba watazamaji 60,000.
Baada ya kuhama kutoka kwenye uwanja wa zamani wa Highbury, uwanja huo uliuzwa na kubadirishwa kuwa apartment ambapo sasa hivi unaitwa Highbury Square.
Hizi ni picha za muonekano wa nyumba Apartment hizo ambapo bado umbo la uwanja linaonekana. Sehemu ya katikati ambayo ilikua ni uwanja wamefanya imekua garden ambapo picha kutoka juu inaweza kukuonyesha kwamba hapa palikua na uwanja wa soka.
0 comments:
Post a Comment