Huyu
ndiye mwanafunzi aliyekuwa mwanafunzi bora wa kike kwa mwaka 2011
alipomaliza kidato cha sita Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa Dar es
Salaam, lakini mwaka 2014 ameendeleza rekodi yake ya kufanya vizuri
katika masomo ambapo amekuwa mwanafunzi bora kwa mara nyingine kwa
kufaulu kwa GPA ya 4.8 kwenye shahada ya Takwimu Bima.
Alichokiandika Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa siku ya leo ni hiki; “..Tulimwita
na nikamzawadia laptop ya 1,500,000. Mwaka huu amekuwa best student
UDSM kwa kupata GPA ya 4.8 kwenye Shahada adimu ya Takwimu Bima. Nataka
tumsomeshe Masters ili kupata wataalam watakaoangalia mifuko yetu ya
Pension, Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam…“
0 comments:
Post a Comment