MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

SIMBA WAMALIZANA NA SSERRUNKUMA, ASAINI MIAKA MIWILI KUKIPIGA MSIMBAZI

SSERUNKUMA AKISAINI SIMBA MBELE YA RAIS WA KLABU HIYO, EVANS AVEVA.
Kamati ya Usajili ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Zacharia Hans Poppe leo imekamilisha usajili wa miaka miwili wa mshambuliaji nyota wa Uganda, Danny Sserunkuma.

Sserunkuma aliyekuwa anakipiga Gor Mahia ya Kenya amekamilisha usajili Simba ikiwa ni baada ya kumaliza mkataba wake na mabingwa hao wa Kenya.
Kabla ya hapo, Mganda huyo alifanyiwa vipimo vya afya jijini Dar, kabla ya usajili wake kufanyika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment