Kampuni
ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania leo imesaini mkataba wa miaka
mitatu ya kudhamini ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kufikia
makubaliano na Shirikisho la soka nchini TFF na Bodi ya ligi.
Sehemu
ya mkataba huo inasema kiasi cha shilingi za Kitanzania Bilioni 1.2
zinaenda moja kwa moja kwa klabu za ligi hiyo kwa ajili ya kujiendesha.
Taarifa kamili itakujia...
0 comments:
Post a Comment