Mshambuliji
Abdul Ramadhani 'Mashine' (kushoto) na Twaha Hamidu 'Noriega' (kulia)
wakifanya mazoezi katika kambi ya wiki ya Simba SC mjini Nice, Ufaransa
mwaka 1993. Simba iliweka kambi Nice kujiandaa na mchezo wa marudiano wa
Robo Fainali ya Kombe la CAF dhidi ya USM El Harrach ya Algeria. Simba
ilikwenda kufungwa 2-0 Algeria na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa
3-2 baada ya awali kushinda 3-0 Dar es Salaam.
HABARI YA MUJINI
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment