Golikipa wa Simba SC Peter Manyika jana alikuwa kivutio uwanjani akiwa na mpenzi wake wakati wakishuhudia mchezo wa Azam Sports Federation Cup kati ya Yanga dhidi ya Friends Rangers kwenye uwanja wa taifa mchezo uliomalizika kwa Yanga kusonga mbele kwa mabao 3-0.
Hizi hapa ni picha ambacho zilinaswa na camera ya simbadume.co.tz ‘Timu ya Ushindi’ iliyokuwepo uwanja wa taifa kunasa matukio kadhaa.
0 comments:
Post a Comment